wakuu wa jukwaa hili naombeni msaada juu ya tatizo hili kwenye computer yangu ambapo natumia hp ( window 10 ) ila kuna huu ujumbe nimekua nikiupata ukinitaka ku activate window mwenye uelewa juu ya hili naomba anieleweshe
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.