NAMNA YA KUBLOCK SIMU ILIYOIBIWA

miminho

Member
Feb 15, 2012
46
7
Habari wandugu !

Naomba kujua namna ya kublock simu iliyoibiwa isiwez kutumiwa kabisa na aliyeiba au kuuziwa. Nimejaribu kuuliza mitandao yetu ya simu hawawez kufanya hicho kitu.

Nimeshindwa kuelewa simu zilisajiliwa za nn na IMEI namba huwa wanarekod za nn ???
 
Back
Top Bottom