Nimekua nikifuatilia hili swala Kwa mda mrefu juu ya hili sa kata la simu iliopatikana katika eneo la tukio huko San Bernadine marekani na jinsi FBI wanavo haha kufungua simu ambayo ilikutwa...
Unamiliki simu aina hii? Au uliwahi kuimiliki au mtu unayemfahamu anaimiliki?
Katika kuivinjari maeneo mbalimbali ulishawahi pita setting category ya easy of access, ukaturn on narrator? Nini...
Habari yenu wakuu nimejikongoja na kupata Lumia 535 used kwa muonekano wangu iko poa. Sasa kuna baadhi ya mambo yananishinda mfano kudownload wasap kila nikijaribu inafeli na inakomandi nitumie...
Kuna alama flani hivi zipo sehemu mbalimbali, ila mfano mzuri ni katika vitambulisho vya kura. Ni ile alama nyeusi ina viboksi na mikunjo mingimingi, nasikia kuna simu zi a uwezo wa kusoma alama...
Wakuu wa jukwaa poleni na majukumu..Nataka ninunue tablet kwa ajili ya matumizi yangu binafsi,nimegoogle current best tablet in market nikakutana na hii hapa Galaxy tab s 10.5
naomba maoni yenu...
STEP UP PLAYER FROM CLOUDS TV wakishirikiana na HOUSE OF GAMERS COMPANY LIMITED wanaletea kwenu STEP UP PLAYER FIFA 16 PLAYSTATION MASTER
- washiriki 1000
- makundi 10
- mashindano yatafanyika...
Wakuu natafuta HP iwe HDD 500,processor speed 2.4ghz,i5 au 7 4th generation, ram 4gb,15 inchez na graphic ziwe nzur tu za kucheza far cry,FIFA hata call of duty.
Ninaomba msaada printer tajwa hapo juu,inakua inatoa meseji hii"59.40 ERROR" kuna wakat inaprint ila kuna wakati inatoa hiyo sms,tatizo ni lipi wakuu,msaada tafadhali ili niondoe hilo tatizo.Asanteni
Nina laptop aina ya samsung notebook nlikuwa cjaiwasha kwa muda wa mwaka mzima . Sasa jana nliwashaa ikawaka vzuri tu lakin keyboard imegoma ku type naombeni msaadaa wenu wadau nifanyeje...
hbr!naomba msaada juu ya kunlock huawei e173-1` nimejaribu kila njia ila zina unlock ila inakaataa tena another simcard na ikifuata hizo tool inakuambia tena locked.\
Sabakher Wadau;
Ningependa Kujifunza Programming! Ila Sina Hata Moja Kichwani! Nina Pc Yangu Najua Tu Basic Matumiz!! Naomba Uniambie Nianze Kusoma Nin? Nifanye Nin? Material Nitapata Wapi? Asanten
Wataalamu wa haya mambo nahitaji msaada wenu katika ili nahitaji kupata huduma hiyo ila sitaki kila mwezi kulipia nahitaji huduma ya lifetime nikifunga nimefunga nakusahu na yenye chanels nyingi...
Habari wanajukwaa kama kichwa kinavyijieleza kuwa nina lapotop yangu aina ya samsung notebook sijaitumia kwa muda wa miezi kama tisa hivi sasa jana nimejaribu kuiwasha bt haiwaki nimejaribu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.