chuse da silva
Member
- Nov 27, 2013
- 35
- 15
Nina laptop aina ya samsung notebook nlikuwa cjaiwasha kwa muda wa mwaka mzima . Sasa jana nliwashaa ikawaka vzuri tu lakin keyboard imegoma ku type naombeni msaadaa wenu wadau nifanyeje
Natanguliza shukuran
Natanguliza shukuran