-live Wire
JF-Expert Member
- Jul 22, 2013
- 375
- 190
Nimekua nikifuatilia hili swala Kwa mda mrefu juu ya hili sa kata la simu iliopatikana katika eneo la tukio huko San Bernadine marekani na jinsi FBI wanavo haha kufungua simu ambayo ilikutwa katika eneo la tukio....je ina maanisha kua wenzetu wana heshimu sana haki za binadamu kiasi kwamba personal freedom and privacy iko katika Kiwango cha juu sana maana Apple wamegoma Katu Katu kushirikiana na Hawa FBI licha ya kwamba Hawaungi mkono magaidi au ugaidi...hili tukio lina leta taswira gani Kwa chombo hicho cha uchi hizi na usalama cha serikali ya marekani ?maana ninachokiona ni end justify the means sio means will justify the end .....karibuni Kwa maoni na mchango wenu katika hili. Nawasilisha.