Msaada: Kuna applications zinajitokeza kwenye simu

utakuwa unatumia Tecno na huenda cm yako inajiwasha data na kujidownload automatic
 
Mkuu fanya hv, go to settng>>> then apps>>>halafu google play or google service, then clear data boss.....for more info visit slaustec.blogspot.com
 
Install addblocker broh....for more info visit slaustec.blogspot.com
Nimetembelea blog yako mkuu. Nilichogundua kwenye blogs nyingi ambazo zimetengenezwa via Google application - blogger huwa zinakuwa na matatizo mengi kwenye muonekano hasa unapotengeza new template njee ya Google template.
Hivyo unapokuwa unatengeza mara nyingi hili tatizo kwa blogger huwa alioni bali viewers ndio wanakuwa wanaona muonekano wa template ni mbaya na hata blog posts huwa hazipo sawa. Kwa mtazamo wangu sijajua hili tatizo ni kwa nini huwa linajitokeza.
Siku njema fanyia kazi hilo ukipata majibu tujuzane.
 
Nimekusoma mkuu, template hio nliyoweka n kwamba kwa m2 anaetumia simu na pc waone kitu sawa, nikiweka mobile view inakua poa tu, but ninapiga hela ya adsense coz kwenye mobile view adds hazionekani zote.....I did it reasonably broh, thanx for ur concern
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom