Madhara ya kutumia screen touch

Madhara ya kutumia screen touch

junior mzolo

Senior Member
Joined
Jan 26, 2014
Posts
140
Reaction score
7
Eti wana jf kuna madhara yoyote yatokanayo na kutumia simu za touch screen au ni uzushi tu miongoni mwa watu
 
Wanaosema kuna madhara si uwaulize wakupe majibu yao? Mimi sidhani kama kuna madhara na huenda yakawa hayapo kabisa.
 
Dole linakuwaga hivi...

dole2.jpg
Effect kubwa ambayo imewapata watu wengi ni dole gumba kubadilika na kuwa kama uume wa ngamia!
 
Nafikiri kama yapo ni madogo sana. Kwasababu mkono au kidole chako ndo kinakuwa kama mouse. Na what happens in mouse click ni execution of command which is electronic automotion.
 
Ni kweli kwa sababu hyo majibu yao hayana uthibitisho wa kisayansi
 
Kasome zinafanyaje kazi !
Utagundua kuwa hazina affect yoyote !
 
Effect kubwa ambayo imewapata watu wengi ni dole gumba kubadilika na kuwa kama uume wa ngamia!

Hahah,,hii komenti yako imefanya nilkodolee macho dole langu af nkaishia kucheka tuu
 
Back
Top Bottom