Hizi alama zinaitwaje?

Hizi alama zinaitwaje?

BabaPrince

Senior Member
Joined
Jan 10, 2016
Posts
137
Reaction score
56
Kuna alama flani hivi zipo sehemu mbalimbali, ila mfano mzuri ni katika vitambulisho vya kura. Ni ile alama nyeusi ina viboksi na mikunjo mingimingi, nasikia kuna simu zi a uwezo wa kusoma alama hizo. Nadhani hata yangu pia ina uwezo huo pia ila tatizo sijui kutumia. Kuna sdhemu nikigusa katika simu in
 
Bar codes, zinakua na taarifa za kielectroniki khs kitu husika. Ikiwa umeshawah kwenda majuu ungeshajua coz kwenye zile check out za S/mkt una-scan hiyo bar code ndipo inakupa bei ya kitu husika sio km bongo bei inaandikwa kwenye box au pampers noo just w bar code
 
Nakumatt ipo system hii. Na maeneo mengi mjini tembea ujionee
 
Hio inaitwa Quick Reference Code, simply QR code....hizo n code za link mbalimbali, kuzitumia lazma uwe na hio app (QR reader) ambayo itai extract hio link then utaweza kuitumia....kwa more info kama hizi ingia slaustec.blogspot.com
 
Asante mkuu kwa maelezo ya kina,.
 
Back
Top Bottom