simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,418
- 9,209
Kawaida app zinakuwa exit au quit button ya kuifunga app baada ya kutumia. Sababu ipi msingi inapelekea chrome browser kutokuwa na quit button?
Nilidhani tatizo version nime update, wapi! Kitufe cha exit hakipo.