Msaada: Nataka kujifunza Computer Programming

mzama chumvini

JF-Expert Member
Mar 14, 2016
730
641
Sabakher Wadau;
Ningependa Kujifunza Programming! Ila Sina Hata Moja Kichwani! Nina Pc Yangu Najua Tu Basic Matumiz!! Naomba Uniambie Nianze Kusoma Nin? Nifanye Nin? Material Nitapata Wapi? Asanten
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom