Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Namna ya kulipia channels kwenye tv iliyounganishwa na king'amuz kwa ndani
0 Reactions
3 Replies
619 Views
The future of pizza is here! Fastfood pizza chain Domino's has turned a military robot into a pizza delivery droid — and it's fairly adorable. The robot has claimed the title of the "world's...
1 Reactions
1 Replies
882 Views
Wakuu, kuna mtu yoyote bado anapata digital channels (FTA) through tv zenyewe internal receivers (bila kutumia king'amuzi cha nje) kwa wale waliokuwa wanazipata hapo awali.? Kwangu zimepotea...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakuu habari nina modem tajwa hapo juu naombeni msaada jinsi ya kuiunlock mana nilipo internet ya voda ni janga CHIEF MKWAWA na wengineo msaada
0 Reactions
1 Replies
632 Views
Apple watch 38mm for 850k Call 0769038065
0 Reactions
0 Replies
618 Views
Kijiko kinachojipandisha chenyewe kwenye lorry
0 Reactions
0 Replies
808 Views
wakuu hapa Tanzania wengi tunajua malipo ya DSTV yalivyo juu PREMIUM ni TZS. 200,000 Lakini South Africa ni TZS. 91,081 So ni very cheap sana. Swali nikinunua decoder hii south Africa na ku...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Je kuna special software au nini hufanyika?
0 Reactions
2 Replies
4K Views
nmeflash tecno boom J7 na stock rom ilipowaka ikawa haina imei namba nkawrite imei namba kwa kutumia mobile uncle, ikakubali lakin nlipoweka line ina niambia SIM LOCK(insert MTN SIM) sasa naomba...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Ndg wanajf, kama heading ilivyo, naomba kufahamu jinsi ya kuset call barring hasa za incoming calls kwa line za airtel au vodacom. Natumia android smartphone. Ahsanteni.
0 Reactions
0 Replies
7K Views
Wataalam wa window phone, nimeupdate sim yangu leokenda window 10 mobile. Baada ya kuapdate sim haitaki chaja yoyote,kila chaja inasema slow charging. Inasema nitumie chaja yake yaani ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
I would like to explain in brief about cellphone repair I will start by explaining the deference between flashing and unlocking. I think we should start learning these words SP lock means...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Habari wakuu, ninaomba kujulishwa nini kinachosababisha simu kupata moto kipindi unatumia, mfano Mimi nikiwa natumia simu yangu kwenye mambo ya internet kama WhatsApp, Google,Instagram na vingine...
1 Reactions
5 Replies
48K Views
habari za leo wakuu natafta mwenye hizi modem zantel E3131 au huawei Hi mini369 mwenye nazo ani pm haraka sana. ahsante.
1 Reactions
22 Replies
3K Views
wakuu habari za saa hizi? naomba msaada pc yangu inashindwa kuingia kwenye accout yangu ya facebook lakini nikijaribu account nyingine za facebook tofauti na yangu inakubali kama kawaida lakini...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari, ningependa kuuliza /kujua Je PHP unaweza kuitumia kudevelop android app without any other language?
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Habri!naomba msaada jinsi ya kunlock huawei y530 sim unlock(network unlock) coz nimetry hadi dc unlocker ila sielewi elewi plz naomba msaada.natanguliza shukrani.
0 Reactions
0 Replies
692 Views
wadau mwenye maujanja anisaidie
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wnadau natumia tecno phantom A 111. Kila nikitaka kudowload application zingine au kuupdate zilizopo inaniandikia insufficient storage. Chaajabu ni kuwa Ram used ni 782 na available ni...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Naomba msaada jinsi ya kuflash modem na kuifanya iwe universal yani iwe na uwezo wa kusoma line zote za simu
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom