Smarttz App

John Dengu

Senior Member
Jun 19, 2015
108
20
Mbona kila nikiingiza Activation code katika SMARTTZ APP naambiwa nimekosea?....nini tatizo?....naombeni ushauri mnaoelewa mfumo huu.
 
Mbona kila nikiingiza Activation code katika SMARTTZ APP naambiwa nimekosea?....nini tatizo?....naombeni ushauri mnaoelewa mfumo huu.

Hivi thread zote humu zinazoongelea ile application kua ni ya tapeli hujazisoma?
Kama umelipia pole sana hiyo hela huipati tena na huduma hutopata.

Nimemshtaki jamaa google, ngoja wampe lifetime ban aone uchungu wa kutumia internet kuibia watu.
 
..haa haaa haaaaa,hapana.Nlitaka kujua inafanyaje kazi hii system.Mi niko Dar.
 
Huyu jamaa ni mwizi, na hii application ni ya utapeli. Nawashangaa Ridhiwan Kikwete na Mbunge wa Mbeya Mjini Mr. Sugu, kumsifia mgunduzi wa application hii, wakati wakijua ni ya kitapeli na inatumika kulaghai watu ili kujipatia pesa kwa njia ya udanganyifu. Shame on Sugu na Ridhiwan...
 
Back
Top Bottom