Sitachoka
JF-Expert Member
- Nov 17, 2011
- 3,030
- 1,306
Wataalamu wa haya mambo nahitaji msaada wenu katika ili nahitaji kupata huduma hiyo ila sitaki kila mwezi kulipia nahitaji huduma ya lifetime nikifunga nimefunga nakusahu na yenye chanels nyingi option ibaki kwangu nataka kuangalia chanel gani,
Kama wewe ni fundi au mtaalamu niambie ninunue dish gani ikiwezekana weka gharama zake mpaka kuanza kuangalia maana naweza kukuchukua wewe na kunifanyia hiyo kazi bei ikiwa ya kuridhisha
Copy kwenu: Njunwa Wamavoko Mwl.RCT Chief-Mkwawa na wataalamu wengine kuhusu haya mambo