Playstation tournament, 5 Million kwa mshindi

Erick kg

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2013
Posts
314
Reaction score
73
1456910633523.jpg
STEP UP PLAYER FROM CLOUDS TV wakishirikiana na HOUSE OF GAMERS COMPANY LIMITED wanaletea kwenu STEP UP PLAYER FIFA 16 PLAYSTATION MASTER
- washiriki 1000
- makundi 10
- mashindano yatafanyika QUALITY CENTRE
- kwa mawasiliano zaidi 0717 022737
 
chief mkwawa.
usiongee kitu usichokijua.
na usipende ku comment usichokijua.
gharama za mashindano unajua ni sh ngapi?
na unajua mashindano yanaendeshwaje.
gharama za media unazijua tena clouds..super brand redio.
 
kabla hatujafika huko kwenye gharama kwanza game mmelipia? developer anajua?
 
tena unaendelea kudhiririsha kuwa wewe uwezo wako ni mdogo.... siwezi kuendelea kubishana na mtu mwenye kuona giza mchana.. unaongea pumba. poor tanzanian mindset. utakuwa masikini mpaka unakufa. chief- mkwawa.
 
bahati nzuri anaetoa riziki sio wewe.

ungeieka hii thread jukwaa la matangazo wala nisingekuja kuharibia biashara yako ila jukwaa hili tupo huru kucriticise chochote kile, huo ni muono wangu usichukulie vitu personal.
 
Ac

Acha taarabu ww, ongea facts! Unaulizwa maswali marahisi unajibu taarabu.
 
chief mkwawa.
usiongee kitu usichokijua.
na usipende ku comment usichokijua.
gharama za mashindano unajua ni sh ngapi?
na unajua mashindano yanaendeshwaje.
gharama za media unazijua tena clouds..super brand redio.

Huna la maana unalowaza zaidi ya playstation.

Na ndio maana unaona hiyo mil 5 ni bonge la deal.
 
-washiriki 1000
-kiingili0 20,000
-jumla ya hela zitakazopatikana kwenye viingilio milioni 20
-mshindi milioni 5
-muandaaji milioni 15

nice try, hapo hamuendi kushindana mshindi ni huyo muandaaji

Ulikuwa kwenye akili yangu.

Ongeza gharama za kutoka hapo ulipo hadi kwenda Quality Center kwa ajili ya kucheza game.

Kumbuka probability ya kushinda ni 1/1000.
 
Ila mkumbuke it doesnt mean wataingia watu wote 1000, it could be less, even 200~300 ambayo itakua ni loss unless wana njia nyingine ya monetization. Its not that easy kufanya this kinda business bongo.
 
bahati nzuri anaetoa riziki sio wewe.

ungeieka hii thread jukwaa la matangazo wala nisingekuja kuharibia biashara yako ila jukwaa hili tupo huru kucriticise chochote kile, huo ni muono wangu usichukulie vitu personal.

Leo umetoa FACTS za hatari yani mulemule hapo mshindi ni muandaaji hahahahahah heb kula like
 
Ulikuwa kwenye akili yangu.

Ongeza gharama za kutoka hapo ulipo hadi kwenda Quality Center kwa ajili ya kucheza game.

Kumbuka probability ya kushinda ni 1/1000.
Probability hapo ni 1/9 wala sio 1/1000 sababu wachezaji watakaofika final watakua wamecheza game 9 each.
 
Probability haiwezi kua 1/9, ni 1/1000 kama jamaa alivyo jibu pale juu kirahisi kabisa sababu mshindi ni moja kati ya 1000 usiifikirie zaidi ya hapo itakuchanganya.

Hiyo proba yako ni proba ya kushinda 1 out of 9 games, which isnt true coz hadi mshindi apatikane means watakua wamecheza 9/10 games tayari wameshinda na kubaki na 1 game. Kushinda just a single game doesnt make you a winner of the tournament, you have to multiply all the probabilities from the beginning of the game hadi mwisho sio ya mwisho tu coz unaweza usifike round ya mwisho ukaishia ya 8 chance yako haikua zero, sema imekua zero after you have lost.

Kirahisi unaweza fanya hii hesabu kwa njia nyingi na zote zitakuleta kwenye 1/1000. Njia yako akili tu ya kawaida kila mtu akishindana na mwenzake game moja, mtu moja probability ya kushinda ni 1/2, watabaki 500 then 1/2 watabaki 250, nenda hivohivo hadi anabaki mtu moja then zidisha all the probabilities za the same single person kushinda utapata 1/1000.
 
-washiriki 1000
-kiingili0 20,000
-jumla ya hela zitakazopatikana kwenye viingilio milioni 20
-mshindi milioni 5
-muandaaji milioni 15

nice try, hapo hamuendi kushindana mshindi ni huyo muandaaji

kabla hatujafika huko kwenye gharama kwanza game mmelipia? developer anajua?

bahati nzuri anaetoa riziki sio wewe.

ungeieka hii thread jukwaa la matangazo wala nisingekuja kuharibia biashara yako ila jukwaa hili tupo huru kucriticise chochote kile, huo ni muono wangu usichukulie vitu personal.

kaka umetisha!!! lakini nimependa zaidi ulivyo maintain your cool :biggup:. ukija Dar.. nitakuzawadia mtoto wa kiarabu. you always have had my respect, lakini leo you've past and beyond
 
huwezi chezesha mashindano bila kumlipa EA sport ambaye ndio game developer wa fifa..

why utengeneze hela kwa jasho la mwingine bila kumlipa?

kuna kitu kinaitwa intellectual property lazima mkijue kwanza na haki za mwenye kitu...

kiingilio elfu 20 ni wizi kwa watu 1000 kisha mshindi anapata 5m only...

kusingizia clouds sio sahihi..
 
tena unaendelea kudhiririsha kuwa wewe uwezo wako ni mdogo.... siwezi kuendelea kubishana na mtu mwenye kuona giza mchana.. unaongea pumba. poor tanzanian mindset. utakuwa masikini mpaka unakufa. chief- mkwawa.

kaka hizi zinaitwa public forums for a reason. mtu akija question what you've said, sio unapanda Mori. kaa chini, panga points zako umueleweshe. asipoelewa, mpishe

2. unavyosema ana poor Tanzanian mindset lakini hutaki kumwonyesha alipokosea, how are you any different from his *alleged* idiocracy? for all our sakes, I pray ambao wamezidi the poor Tanzanian mindset wasiwe kama wewe
 
Probability haiwezi kua 1/9, ni 1/1000 kama jamaa alivyo jibu pale juu kirahisi kabisa sababu mshindi ni moja kati ya 1000 usiifikirie zaidi ya hapo itakuchanganya.

Hiyo proba yako ni proba ya kushinda 1 out of 9 games, which isnt true coz hadi mshindi apatikane means watakua wamecheza 9/10 games tayari wameshinda na kubaki na 1 game. Kushinda just a single game doesnt make you a winner of the tournament, you have to multiply all the probabilities from the beginning of the game hadi mwisho sio ya mwisho tu coz unaweza usifike round ya mwisho ukaishia ya 8 chance yako haikua zero, sema imekua zero after you have lost.

Kirahisi unaweza fanya hii hesabu kwa njia nyingi na zote zitakuleta kwenye 1/1000. Njia yako akili tu ya kawaida kila mtu akishindana na mwenzake game moja, mtu moja probability ya kushinda ni 1/2, watabaki 500 then 1/2 watabaki 250, nenda hivohivo hadi anabaki mtu moja then zidisha all the probabilities za the same single person kushinda utapata 1/1000.
Mkuu unaelewa maana ya kucheza mashindano kwa makundi?
Chukulia mfano wa FIFA world cup ambapo kuna kua na team 32 na makundi 8.team zinazofika fainali zinakua zimecheza mechi 32 sababu zipo team 32? La hasha! Kila team inacheza game 7 mpaka fainali ili kupata bingwa.Game 3 za kwanza zinapita team 16, then game ya 4 zinapita team 8 ,game ya 5 team 4 na game ya 6 team 2 final na game ya 7 ndo ya mshindi. Kwahyo hapa huwezi sema probability ya kushinda ni 1/32 bali ni 1/7.
Hujamuelewa mleta mada kua kutakua na makundi na ndio point ambayo unamiss na kuleta complication kwenye hesabu rahisi.Hii sio league yenye team 20 then mshindi lazima acheze na team 19 mechi mbili mbili na hapa sasa ndo hesabu yako itakua sahihi probability ya kushinda itakua 1/38.
 
Acheni kukatisha watu tamaa bila mpango jamani.

Kwanza hauhitaji kumlipa EA kitu chochote ukifanya mashindano ya Fifa, hakuna sheria wala utaratibu kama huo.

Pili of coz mwandaaji lazima apate hela, wewe yanakuhusu nini kuwa anapata mill 15? We unatoa 20,000 na kama una skills utaondoka na 5M yako.
Hapo ukikata hela ya ukumbi, playstations, tv screens, mishahara etc sidhani kama atafaidi mnavyodhani.

Mwisho probabilities hazina maana hapa kwa kuwa hii sio lottery ambayo ni game of chance, hii ni gamebo skill. Kwa mfano mimi probability yangu ya kushinda daima itakuwa zero maana sichezi Fifa.

Ushauri wangu labda muongeze washindi nafasi mpaka ya 10 hivi hata kama laki laki mtu unaweza kujihisi una chance zaidi.
 
Mtu kaja kuweka Tangazo lake humu
Kama unaona anawaibia watu wewe fanya lako ambalo hutawaibia watu
Watanzani ni watu wa ajabu sana mtu akianzisha kitu wivu tu kama wanawake bana
 
Back
Top Bottom