Habari za siku wakuu, leo hii nilikuwa katika pita pita zangu kwenye mtandao nikakutana na hii
Sasa watumiaji wa huu mtandao naomba maelezo kidogo.
Je;
Kweli ni unlimited au ni unlimited zetu...
Wana JF ambao wametumia simu za android katika matumizi ambayo sio ya kupiga, kutuma sms na kuchati Whatsapp na FB tu, aliye tumia simu katika kazi mbalimbali kama kucheza game aina yoyote...
habari za mapumziko ya wiki wanajukwaa. Nina betri ya solar ya volt 12,kwa kuwa pia laptop zinatumia mfumo wa dc ,nawezaje kutumia bila ya inverter?msaada tafadhali
Jamni naombeni msaada ya namna yakuroot simu yangu maana nimejaribu njia nying zimegoma.
Simu inanisumbua coz ina internal space ndogo sana. Its android version 2.3.6 Gingerbread.
Nilishajaribu...
IDENTIFICATION OF WORKS I DO.
NAME: ANZURUNI SHEMU.
PROFESSIONAL: ELECTRICAL ENGINEERING.
INSTRUMENT: 1 PERSONAL COMPUTER(LAPTOP).
PHONE NO: +255753970366 or +255 789254607.
EMAIL...
Habari wana jamvi.. Simu yangu ni Samsung galaxy note2 . nataka kuitumia kama modem katika computer cha ajabu inaniletea "mobile data is not available or invalid SIM" hiyo invalid somu inakuja...
Jamani mimi ni .wanafunzi wa mwaka wa kwanza Bsc.informatics sokoine univeristy natamani niwe software programmer au software engneer naombeni mnisaidie kujua msingi wa hii programme ikiwezekana...
Wanajamvi, tafaadhali msaada wa kuweza kutumia modem ya airtel kwa laini nyingine. Pia kuna modem hii yenye chata hili HSDPA nawezaje kuitumia. Naambatisha picha kwa zote mbili
Natumia Huawei MT1-U06 ina download apps automatically na a lot of ads appers nikiwa naitumia sometimes inaji restart automatically nifanyaje wana jamii forum .
Husika na heading hapo juu..
Hii nmepewa mm toka kwenye mgao wa mali za marehemu tuliyempoteza mwezi mmoja uliopita kutokana na ajal ya gar.. nmejarbu..
Simu nmejarbu password mara3 lakn bado...
Jaman msaada,,,simu yangu mdogo wangu aliniomba atumie internet kwa facebook,sijui imekuwaje,ameiwekea simy lock kwa parrten,,na hakumbuki alivyoweka,,naomba msaada tafali jinsi ya ku unlock hiyo simu
Habarii zenuu ladies n gents.Naombenii ushaurii simu yangu inasumbua play storee so nashindwaa, kudownload app mbalimbali kama wasap coz haifungukii, Je nifanyajee? Naombenii ushaurii wenu...
Wakuu Niko interest sana na inshu za Taa au mifumo ya Taa kuanzia upambaji wa taa ktk makumbi au majukwaa sina experience sana na rangi taa safi zinazopendeza ktk kumbi kingine kumekuwa na system...
Baada ya kulimwa ban ya siku kadhaae, leo kwa nguvu na afya tele tuangalie sehemu ya tano ya maujanja, make life ease in that way
If you have any comment, write down straight ahead nitazijibu...
Habari wana jf, naomba msaada wa application inayotafsiri lugha yani kiswa to english yani naandika sentesi ya kiswahili inatafsiri sentesi nzima ama kingleza inatafsiri kiswa hili . mfano a...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.