Laptop yangu haiwaki msaada kwa wanojua

Abu Haarith

JF-Expert Member
Oct 16, 2015
314
165
Habari wanajukwaa kama kichwa kinavyijieleza kuwa nina lapotop yangu aina ya samsung notebook sijaitumia kwa muda wa miezi kama tisa hivi sasa jana nimejaribu kuiwasha bt haiwaki nimejaribu kuicharge kuanzia asubuhi hadi saa hii najaribu kuiwasha tena haiwaki msaada plz nini kitakuwa kimekufa?

picha za laptop hizi hapa
e0d44c5653eb81707035d9f460655655.jpg
bac14ef419806f97cf57183b939170aa.jpg
335b3ed3eda9a88c38ba46ccd7875844.jpg
2d46b233e19924dfa19bc4ac28dae3e2.jpg
 
Toa betri yake Halafu connect kwenye charge bila betr then bonyeza kitufe cha kuwashia bila kukiachia mpaka dk5 halafu weka betr yako kisha washa computer yako itakuwa tayari
 
Back
Top Bottom