Naomba ushauri kuhusu kununua Galaxy tablets S 10.5

Sambusa kavu

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2015
Posts
811
Reaction score
1,312
Wakuu wa jukwaa poleni na majukumu..Nataka ninunue tablet kwa ajili ya matumizi yangu binafsi,nimegoogle current best tablet in market nikakutana na hii hapa Galaxy tab s 10.5
naomba maoni yenu kwa wenye uzoefu nayo hii itanifaa? au kuna nzuri zaidi ya hii?
hints:nilikuwa nataka tablets yenye vigezo vifuatavyo
- iwe inatumia sim card
-yenye front na back camera
-ram kubwa ya kutosha - hata games ambazo sio nzito sana niweze kuzicheza
-battery nzuri
Pia ntashukuru sana kama mkinifahamisha na bei yake ni sh ngapi ili nisije nikazidiwa kete na wajanja..natanguliza shukrani zangu kwenu.
samsung_galaxy_tab_s_10_5_inch_titanium_bronze_12.jpg
 
integemea na hizo choice zako ipi unayoipa nafasi kubwa hii tablet ni s series za samsung zinauzwa bei ghali sana hii hapa nafkiri inaweza cost around milioni 1 au ikazidi kidogo. ni tablet nzuri all around na simu zenye specification sawa na hii tablet zinauzwa around 300,000 hadi 500,000 hivyo kutoa 1m kwa tablet hii kwangu haingii akilini.

-kama ni gaming unayojali zaidi angalia tablet kama nvidia shield hii ni proved best gaming tablet kwa sasa
-kama ni productivity unayojali sana tafuta tablet za windows
-kwa battery life nafkiri lenovo yoga tab 3 zina capacity kubwa
 
Wakuu wa jukwaa poleni na majukumu..Nataka ninunue tablet kwa ajili ya matumizi yangu binafsi,nimegoogle current best tablet in market nikakutana na hii hapa Galaxy tab s 10.5
naomba maoni yenu kwa wenye uzoefu nayo hii itanifaa? au kuna nzuri zaidi ya hii?
hints:nilikuwa nataka tablets yenye vigezo vifuatavyo
- iwe inatumia sim card
-yenye front na back camera
-ram kubwa ya kutosha - hata games ambazo sio nzito sana niweze kuzicheza
-battery nzuri
Pia ntashukuru sana kama mkinifahamisha na bei yake ni sh ngapi ili nisije nikazidiwa kete na wajanja..natanguliza shukrani zangu kwenu.
Nakushauri tafuta Tecno WinPad 10, (3 in 1) hii tablet itakufaa sana. Inakuja na kioo cha inch 10 touch display with resolution of 1280x800, Powered by Intel Atom Z3735F, quad Core processor at 1.83 GHz, RAM ya 2GB. Pia Inakuja na windows 8.1 upgradable to Windows 10. Ina Kamera ya nyuma na Mbele na Ina uwezo wa kupiga na kupokea simu.
Check hapa
 
Shukran sana mkuu, Je vp kuhusu bei yake ni sh ngapi? Na inapatikana wapi kwa dar?... Vp ukilinganisha na iyo galaxy s10. 5 ipi ni nzuri zaidi?
 
Achana na ma tecno hayo yanazimwa soo
Kama uko poa tafuta k2 cha tab s min kioo ni 7.5
Utaenjoi balaa mwanangu alaf kitu kina kaa na charge balaa
Ndo nko nacho mzee hutojuta kamwe
 
Mkuu iyo 's mini specifications zake zikoje? Ulinunua wapi na sh ngapi?
 
Back
Top Bottom