Ninaomba msaada printer tajwa hapo juu,inakua inatoa meseji hii"59.40 ERROR" kuna wakat inaprint ila kuna wakati inatoa hiyo sms,tatizo ni lipi wakuu,msaada tafadhali ili niondoe hilo tatizo.Asanteni
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.