blog na website

lovenessy

Senior Member
Aug 20, 2013
105
68
jaman heshima kwenu tafadhar naomba mnisaidia kuweza kufungua blog yangu na website tafadhar mwenye ujuzi
 
blog na website ni vutu viwili tofauti kufungua blog waga ni bureee kabisa USIDANGANYIKE lakini kufungua website waga unalipia vitu 3 (Host, Domain, Na design) kibiashara blog sio nyuri kwani blog mmiliki wakke ni google ila ukufungua website mmiliki wake anakuwa ni wewe so unaweza kuifanya website vile utakavyo.

Mimi natengeneza website lakini blog natengeneza bure kabisa sema lazima unipe hata pesa ya maji. hizi ni baadhi ya website nilizo tengeneza FLEVA (BONYEZA HAPA KUITAZAMA) na MUVIKA ONLINE (BONYEZA HAPA KUITAZAMA)
kwa maelezo zaidi waweza nichek 0743497079
 
Back
Top Bottom