Kilangi masanja
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,371
- 4,847
Habari yenu wakuu nimejikongoja na kupata Lumia 535 used kwa muonekano wangu iko poa. Sasa kuna baadhi ya mambo yananishinda mfano kudownload wasap kila nikijaribu inafeli na inakomandi nitumie WiFi sasa hapo ndipo ninapokwaama kabisa lakini pia kila ninapokua online kwa muda simu inakua inachemka Sana, sasa sijui nini suluhisho la matatizo hayo. Mwenye ujuzi pia wa kuweza niongezea baadhi ya application au hata vitu vingine katika simu hii anisaidie.