Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Kuna simu mpya naziona madukani ni za tecno c 8. Vipi ubora wake? Nilichovutiwa zaidi ni uwezo wa camera 13 Mega pixel. Na bei nimezunguka naambiwa hata 280,000 napata. Naomba wanayoijua vizuri...
0 Reactions
15 Replies
6K Views
Heshima yenu wakuu. Laptop yangu ina shida ya connection ya internet (Cable connection). Nimeuliza nikaambiwa haina drivers na nikaelezwa namna ya kuzidownload. Lakini nimejaribu zaidi ya mwezi...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nina simu yangu huawei y 540 ambapo mesagge zimekuwa zikijirudia rudia yaan mfano nimezima simu nikiiwasha messge hata nilizotumiwa cku za nyuma zinarudi hata kama nimeshazifuta je nn...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakuu msaada je? Nawezaje kuweka whatsapp signature ili kila nikituma sms chini itokee hiyo signature, nawasilisha!
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wanajf nina swali ndugu zangu, mnisaidie, swali nililonalo hapa ni je kuna aina gani ya metal, au jiwe la aina yoyote ambalo huweza kufanya maajabu ya waziwazi kama mfano wa Sumaku na maajabu yake...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wadau nimejaribu ku execute "AT commands" chache kama vile AT (on HyperText Terminal) kwenye GSM modem (Huawei) za hapa home tz naona zinagoma kabisa. Nikitumia modem za nchi nyingine zinapiga...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kutokana na tatizo la kutoa mistari na rangirangi zinazofifisha muonekano wa display. Kwa anayejua duka au Karakana nitakayoweza kupata display husika tajwa hapo juu. Naomba anisaidie maana maduka...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nmekuwa member since 2012 ,nlikiwa mdau mkubwa wa hili jukwaa la tech pamoja na wakuu wengine, jukwaa kwa sasa naona linazidi kukosa post hata wachangiaji. kadri muda unavyozidi kusonga...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Leo nilishawishika kufungua website ya Arusha City Council kwaajili ya kupata taarifa za msingi hasa kuhusu kata na idadi ya watu na ikiwezekana majina ya viongozi wa sasa; kilichonishangaza ni...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Ukipokea emaili kama hii hapa chini ifute na usijishughulishe nayo Stupid hacker,tena utoto mtupu na ni watanzania wenzetu sina shaka.Share kwa watu wengine wenye ugonjwa wa kuclick kila...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Heshima zenu wakuu, natumia huawei P8 lite ALE L21 nashindwa kutambua OS yake km ni Lollipop au la? Vp naweza kujuaje km ina run current OS Lollipop? features gani ntaziona kwenye cm yangu? Pili...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wana JamiiForums kama kuna mtu anajua jinsi ya kuirudisha Betty iliokufa katika ubora wake atuelekeze maana nimesoma mtandao nmekutana na njia ngumu kidogo naombeni msaada wenu.
1 Reactions
10 Replies
4K Views
Habari wadau ....naombeni msaada wenu wa namna ya kuroot Huawei P6 to KITKAT please. Natanguliza shukrani zangu .
0 Reactions
1 Replies
975 Views
jamani naombeni msaada kama kuna mtu anafahamu namna ya kuweka salio kupitia modem hasa modem ya tigo maana ndio naitumia. napata shida sana kuweka line kwenye simu halafu unaweka salio then ndio...
0 Reactions
18 Replies
6K Views
Wadau nimekuwa nikipata hili tatizo kwenye simu yangu(samsung galaxy note 4), muda mwingine inawaka na kutoa maandishi na inazima, muda mwingine hata maandishi haitoi wala kuonyesha % za...
1 Reactions
12 Replies
4K Views
Wadau naombeni msaada maana nina kama siku 6 hivi channeli za ITV, TBC, EATV,Channel TEN hazisomi tena kupitia Kodi yangu. Kama kuna anayefahamu naomba msaada. Natanguliza shukrani!
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Moja katika maswali mengi ambayo watu wanajiuliza kutoka katika logo ya Apple ni kwamba kwa nini logo hiyo imeng’atwa upande mmoja? Moja kati ya sifa kubwa katika kampuni la Apple ni kuwa na...
1 Reactions
12 Replies
6K Views
Katika kuperuzi nimekutana na hii kitu Shule Direct big up sana beatiful lady for your innovation.
2 Reactions
6 Replies
1K Views
habarini za asubi wadau, Kuna project naifanya ikiwa kwenye localhost inafanya kazi vizur tatzo ni kwenye free webserver ambako wanatumia php 5.4 na mimi kwenywe localhost nilitumia php 5.6...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom