Msaada kuhusu OS ya Huawei P8 Lite

Sputam

JF-Expert Member
Jan 22, 2013
600
390
Heshima zenu wakuu, natumia huawei P8 lite ALE L21 nashindwa kutambua OS yake km ni Lollipop au la? Vp naweza kujuaje km ina run current OS Lollipop? features gani ntaziona kwenye cm yangu?

Pili hivi kuna tofauti gani kati ya kufanya Factory setting kwenye simu na kuformat simu.?Msaada kwa mwenye uelewa anielekeze. Ahsante
 
Kuangalia android version nenda kwa Settings/About hapo utapata android version 4 (kitkat) 5 (lollipop)...
Ku format simu (ni ligha ya kienyeji)na kufanyia factory settings (technical term) yote ni sawa lugha tu tofauti
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom