Tigo 4g Kilimanjaro

William Ngotti

Senior Member
Apr 13, 2015
187
48
0c965641b0be8be3c5f54041c687f003.jpg
 
bado sana..ping mbovu sana af download speed bado yakitoto saña kuliko hata 3G
 
Mahali nilipo snapshot 4g ndipo nime snapshot 3G

4G speed yake iko Poa ila bado kuna Changamoto nyingi sana

Kuna maeneo Speed ya Halotel 3G imeipita Speed ya 4G

Sasa nabaki kujiuliza nini tofauti ya 4G na 3G?

angalia hapa nachoapata na Tigo 4G

5215972160.png


hapo si kwa TTCL si Kwa Tigo speed ikipanda sana 10Mbps
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom