Niko na lg g2 ina tatizo ambalo hutokea mara mojamoja yan hujibonyeza wenyewe frequently na hili tatizo likitokea hukaa kwa masaa kadhaa then huacha likiacha simu hua fresh mpaka litakapokuja...
Hellow guys, habari zenu wana JF,
Jamani nimekuwa interested sana kujifunza masuala ya video editing na masuala mengine yanahusiana na designing, So naomba kufahamu kama kuna short course yeyote...
Habari wadau!
Nina flat screen yangu sijaitumia kwa muda wa miezi sita hivi nilikuwa nimesafari. Sasa jana nimerudi getto kuwasha hivi naona ukungu kwa ndani na picha wala haionekani vizuri...
Ndiyo..natamani sana kujifunza kuchora au kubuni animation especially cartons kwa ajili ya magazine hapo mbeleni. Yeyote mwenye ujuzi na haya mambo anipe details na ikiwezekana contacts tujue...
Habari zenu wana jamii forum?
Nina simu ambayo nilitumiwa toka America, inawaka na kufanya shughuli zote za internet kwa kutumia wi-fi ila nashindwa kuitumia kwa mawasiliano kwani inashindikana...
Natumia galaxy j1 ace but nataka kujua maaana ya kuroot simu then kama ntaona inafaida nitairoot na hii Yangu.please wakina Chief mkwawa na wataalamu wengine nitoeni ushamba
habar wadau...
Flash yang ya 16 gb ghafla tu nikiweka kwa pc inanulza kuformat..niki format inagoma...inanambia "insert disc in a drive.."
(haina phyaical damage yyote wala kuloa)
Nina ka pc flan iv nimejaribu kusearch ili ni activate ili niweze kufurahia Internet nimerajibu nimeshindwa je kuna option nyingine ya kuwasha Wi-Fi kwa kutumia keyboard maana ninaona icon...
Rejea kichwa cha habari hapo juu , Tablet yangu internal storage ni 16 GB , Space niliyotumia kuhifadhi data ni 4 GB. Lakini kitu cha kushangazi kila nikifungua data naletewa Ujumbe kuwa "Data...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.