Naweza kuweka signature kwenye whatsapp?

Bengazuu

JF-Expert Member
Mar 28, 2013
1,029
1,236
Wakuu msaada je? Nawezaje kuweka whatsapp signature ili kila nikituma sms chini itokee hiyo signature, nawasilisha!
 
Wakuu msaada je? Nawezaje kuweka whatsapp signature ili kila nikituma sms chini itokee hiyo signature, nawasilisha!
Nadhani Bado haijawekwa Hiyo option Labda tufanye mpango wa kutuma maombi. Au tumi manual
andika signature yako pembeni halaf kila ukiandika ujumbe mwisho unai paste
 
Back
Top Bottom