computerkiddy
JF-Expert Member
- Oct 1, 2015
- 488
- 534
Katika kuperuzi nimekutana na hii kitu Shule Direct big up sana beatiful lady for your innovation.
i think ni faraja kota nyalandu wa 2004 ...........source ya habari wanasema ni faraja nyalandu wa 2014 Wanafunzi washindwe wenyewe, Faraja Nyalandu kawawezesha kujisomea hata kwa SMS - TZA_MillardAyoNi miss tz 2014 au 2004 maana nakumbuka faraja[2004] ilikua ni idea yake..
I stand to be corrected
Mtaendeleza jamii ya watu wajinga....
Mnaachana na vitabu na kwenda kwenye sms......
What a stupid idea, wanafunzi wanatakiwa wasome kwa vitabu... ndo maana nchi yetu inakuwa ya mwisho kila siku
sioni kama ni stupid idea..........kumbuka zamani kabla ya kuja kwa vitabu knowledge ilikuwa inapatikana kwenye mapango ya mawe tena kwa njia ya michoro.....then paper was invented. so what is the problem of using mobile phone as the source of knowledge?Mtaendeleza jamii ya watu wajinga....
Mnaachana na vitabu na kwenda kwenye sms......
What a stupid idea, wanafunzi wanatakiwa wasome kwa vitabu... ndo maana nchi yetu inakuwa ya mwisho kila siku