mandella JF-Expert Member Oct 29, 2011 3,051 3,255 Mar 31, 2016 #1 Habari wadau ....naombeni msaada wenu wa namna ya kuroot Huawei P6 to KITKAT please. Natanguliza shukrani zangu .
Habari wadau ....naombeni msaada wenu wa namna ya kuroot Huawei P6 to KITKAT please. Natanguliza shukrani zangu .
Chief-Mkwawa Platinum Member May 25, 2011 31,343 41,691 Mar 31, 2016 #2 sijui umechanganya kuroot na ku update simu? ukiroot simu haibadiliki version ya android