Simu yangu SMS za zamani zinajirudia rudia

Simu yangu SMS za zamani zinajirudia rudia

komunisti

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2015
Posts
1,403
Reaction score
2,068
Nina simu yangu huawei y 540 ambapo mesagge zimekuwa zikijirudia rudia yaan mfano nimezima simu nikiiwasha messge hata nilizotumiwa cku za nyuma zinarudi hata kama nimeshazifuta je nn tatizo?nifanyeje kuondoa tatizo hili?
 
Lazima unatumia line ya tigo..Naona hiyo ndo kero yao kwa sasa
 
Tigo hao mkuu, wee komalia tu itakoma yenyewe
 
Hata zilizotumwa kwa voda zinajirudia na hata kama nikitoa laini zote simu ikabaki empty bado tu sms zinajirudia
 
Nina simu yangu huawei y 540 ambapo mesagge zimekuwa zikijirudia rudia yaan mfano nimezima simu nikiiwasha messge hata nilizotumiwa cku za nyuma zinarudi hata kama nimeshazifuta je nn tatizo?nifanyeje kuondoa tatizo hili?

Labda uli backup data.Kila ukiwasha inakuwa ina synchronize.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom