Natafuta display ya lenovo - G510 laptop

NkumbiSon

JF-Expert Member
Sep 22, 2013
2,390
3,332
Kutokana na tatizo la kutoa mistari na rangirangi zinazofifisha muonekano wa display. Kwa anayejua duka au Karakana nitakayoweza kupata display husika tajwa hapo juu. Naomba anisaidie maana maduka niliyoyatembelea nimekosa, Hata kama. Wewe unacho nijulishe ulipo na bei tutasolve issue.... Asanteni. Nipo Dar
 
mkuu ivyo vioo ninavyo vingi nipo kariakoo kiofisi mtaa wa kongo au unaweza kunicheki kutucheki kwa 0716021450
 
Back
Top Bottom