habarini za asubi wadau, Kuna project naifanya ikiwa kwenye localhost inafanya kazi vizur tatzo ni kwenye free webserver ambako wanatumia php 5.4 na mimi kwenywe localhost nilitumia php 5.6...
Wakuu nahitaji ku shoot video live na kuionesha hapo hapo ukumbini kwa kutumia project nitumie camera gani ambao itatuma data wireless ktk projector nahitaji kushoot na kudisplay event bila nyaya
Habari za wakati huu ndugu.
Naombeni wale wataalamu wa laptop watupe elimu kuhusu namna ya kutambua laptop feki iwe dell, hp. toshiba n.k nimekua nikifatilia sana kwa ukaribu lakini sijafanikiwa...
Heshima kwenu wadau jaman naomba msaada kujua hii kitu podcast studio inafanya kaz kwa style zip na mtu anawezaje kutengeneza pesa ktk hii podcast... Ahsante sana
Wakuu nina tecno y 3 ningependa nii flash but nimeenda duka la tecno nikaambiwa i need to tell them issue nyngine yeyote ndo wa i flash je matatzo gani hutibiwa kwa kuflash cmu??
wadau mimi nilikuwa naomba mnifahamishe bei ya broadband kwa mwezi huko nyumbani (kwa matumizi ya kwenye nyumba).
nataka kujua bei kwa mwezi, speed yake ikoje, kama ni fibre optic au normal...
Moja katika maswali mengi ambayo watu wanajiuliza kutoka katika logo ya Apple ni kwamba kwa nini logo hiyo imeng’atwa upande mmoja?
Moja kati ya sifa kubwa katika kampuni la Apple ni kuwa na...
Habari wakuu.
Kugawana ni kujali.
Ofisi nyingi huwa na data kwenye excell wanahitaji wahamishie kwenye other program ikiwemo tally, vip payroll na pastel.leo nitawafunza.
1. Fungua program eneo la...
Wizara ya Sheria ya Marekani inasema
imefanikiwa kuzisoma data zilizohifadhiwa
kwenye Simu ya iPhone mali ya mmoja wa
walipuaji katika tukio la mauaji la San
Bernardino na kutangaza kuacha mpango...
Nilitaka kuinstall App mpya kwenye simu yangu ila kila nikijaribu inaniandikia "insufficient storage" nikajaribu kufuta App moja nikajaribu kuinstall tena ikagoma. Nikafuta nyingine bado ikagoma...
Instagram rolls out 60-second videos starting Tue 29 Mar..Instagram announced on Tuesday that it will soon begin rolling out 60-second video capabilities for its users.
Wakuu habari za saiz juzi kuna mzigo wa simu umetumwa toka nje kuna wateja wawili wamezingua mmoja ni Sony Xperia z2 mwingine Samsung Galaxy A5. Kati ya simu zote hizo ipi ni bora nimpe mdogo...
Tatizo hili limetokana na kusafirisha hii monitor kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine sasa nadhan ile mitikisiko ya basi tulilokuwa tunasafiria imesababisha kioo cha hii monitor kucrack hadi wino...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.