Secret Star
JF-Expert Member
- Jul 1, 2011
- 1,720
- 1,639
Wanajf nina swali ndugu zangu, mnisaidie, swali nililonalo hapa ni je kuna aina gani ya metal, au jiwe la aina yoyote ambalo huweza kufanya maajabu ya waziwazi kama mfano wa Sumaku na maajabu yake ya wazi kabisa,?