Aurelio_CSM
Member
- Oct 14, 2014
- 57
- 22
habarini za asubi wadau, Kuna project naifanya ikiwa kwenye localhost inafanya kazi vizur tatzo ni kwenye free webserver ambako wanatumia php 5.4 na mimi kwenywe localhost nilitumia php 5.6 nikijaribu login feature ya hii project yangu napata errors hiyo hapo kwenye screenshot. Nawezaje kuifanya ikubali kufanya kazi kama hapo mwanzo. Asante