Namna ya kutengeneza betry ya simu iliokufa

Mlimandora

Member
Nov 19, 2015
45
19
Wana JamiiForums kama kuna mtu anajua jinsi ya kuirudisha Betty iliokufa katika ubora wake atuelekeze maana nimesoma mtandao nmekutana na njia ngumu kidogo naombeni msaada wenu.
 
Nenda kwa settings/battery hapo utapata app ambayo inanyonya charge kwa battery.. Kama inawezekana itoe kabisa kwenye simu. Lkn kama haiwezekani, kwa mfano Google playservices, itabidi uiformat simu yako ama badilisha version ya os
 
Nitajuaje kuwa hiyo app. .inanyonya
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom