Jamani hizi ni aina ya simu makapuni mawili tofauti, kwa anaezifahamu simu gani bora zaidi
katika yafuatayo
>uimara wa simu katika matengenezo
>ubora wa camera
>storage ya simu
>ukaaji wa chaji...
Wadau nimebahatika kusoma short course ya winserver 2003 kama miaka 3 iliyopita,sasa kutokana na nature ya kazi yangu sikuwahi kupata wasaa wa kwenda field au mazoezi yoyote ya jinsi ya...
Wadau naombeni msaada wenu ,yeyote mwenye uelewa namna ya kuinstall Open source library system (Koha) kwenye Ubuntu ,nimejaribu but am ending somewhere.
1.una weza set secret chat ambayo msg zinajifuta with in 9 sec
2. Una weza set password kitu ambacho whatsapp huwez
3. Can't be hacked mpaka sasa hivi hakuna mtu aliweza ku hack
3.una weza ku weka...
Microsoft walizindua akaunti ya Twitter kwaajiri ya roboti yao inayojulikana kama Tay ambayo inatumia artificial intelligence kujibu tweets na kujichanganya na vijana, lakini masaa machache baada...
Natumia FileSystemWatcher kwenye asp.net web application ku monitor changes zote zinazotokea kwenye folder "c:\MyDir".
Implementation
1. Nime create class MonitorDirectory ,
ina static method...
Security,
very important! but how many developers do consider security threats at early stages? I once read somewhere, it 10x expensive to 'retrofit' security than to design at the beginning...
wakuu, heri ya pasaka.
nilinunua simu aina ya Iphone 4s ila siku delete icloud account iliyokuwepo, nimerestore simu sasa inahitaji apple ID na password. Tatizo simu ni second hand na aliyeniuzia...
habari za pasaka wanajamii forum
nilikuwa naombeni msaada wenu kwa wale wanaofahamu program yoyote ya computer ili niweze kubadilisha picha zang kutoka INVALIDI IMAGE KUWA PICHA ZA KAWAIDA maana...
Last month nimepoteza simu-Sumsung, sasa niliifnyia tracking system. Leo kitu kimejibu nimetumiwa namba ya simu anayotumia na IMEI namba yake.(Nilivyosearch nikaona na jina lake anaitwa SALEHE...
Wakuu habarini
Wiki iliyopita watssap yangu iliexpry
Nimejaribu kudownload kupitia playstore lakini imeishia njiani
Nikadawnload kupitia browser nyingine opera mini nikadownload watssap kupitia...
<iframe width="560" height="315" src="" frameborder="0" allowfullscreen></iframe>
Inaitwa iphone se. Wenyewe wanasema big change for small. nimeipenda sana hii kwani sim ni ndogo usawa wa iphone...
It doesnt really matter what you use to do it typing is just about the same on all devices. Oh, sure, its bigger on some devices and smaller on others, but the letters and the keys are pretty...
Google will display a full-page warning if state-backed attackers attempt to access a user’s Gmail account or computer, the company announced. The move comes after Google backed Apple in fighting...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.