Madishi ya Starsat ni ya kampuni gani?

Yusomwasha

JF-Expert Member
Dec 5, 2014
2,092
838
wakuu kwenye pitapita zangu nimeona madishi yameandikwa starsat haya yanamilikiwa na kampuni gani?

yanauzwa bei gani?

yana channel ngap?

ni ya kampuni gani?
 
wakuu kwenye pitapita zangu nimeona madishi yameandikwa starsat haya yanamilikiwa na kampuni gani?

yanauzwa bei gani?

yana channel ngap?

ni ya kampuni gani?
Hebu mcheki Ridhiwani maana ishu nyingi za namna hiyo yeye huwa anahusika
 
Back
Top Bottom