Dexaquin
JF-Expert Member
- Feb 7, 2015
- 230
- 80
Wadau habari za muda huu?
Nina galaxy note 3 ina tatizo la sensor yake, nijuavyo mimi ni kwamba ukiwa unapiga simu ukiweka sikion mwanga wa simu huwa unazima kutokana na kuiziba ile sensor ya simu, sasa tatizo limejitokeza kwenye simu yangu ambapo naona sensor yake haisensi na simu bado ni mpya. Kwa anaejua namna ya kuset naomba anitatulie hili tatizo! Asanteni