download SD CARD CLEANER APP iko vizuri hiden files and unwanted files utazifuta na space itakuwa powa..futa kwanza fb au fb mesenja ndo udownload kam inadai spacehabari wana jf,smart phone yangu samsung galaxy s6mini bado ina empty space ya gb 2.9 lakin nikidownload kitu inaniambia imejaa,nimejaribu kufita baadhi ya mafaili lakin wapi.nifanyaje?
Hata mimi nimeshangaa, itakuwa moja yapo ya zile simu zitakazofungwa na TCRAS6 mini?