nimekuwa nikijiuliza hili swali toka zamani kwamba kipi ni kizuri zaidi......being a web developer as a carrier or develeoping your own web and earn from it .help me to elaborate
heshima kwenu, naomba kujuzwa nawezaje ku fetch data kutoka sqlite database na kudisplay information by issueing python command? Nimetengeneza data base separate kwa kutumia sqlite sasa nimejaribu...
Ni technology inayotumia mwanga kusoma vitu mbali mbali ni kirefu cha light amplification stimulated by emmision of radiation, Laser ni mwanga wa rangi ya aina moja,Mwanga huu hausambai kama...
habari zenu wanajamii,
tatizo langu ni siwezi kucheza ps4 online kwa sababu nat type yangu ni 3 na sio 2 au 1.
natumia router ya tigo 4g.
nilijaribu na airtel na smart napata nat type 2...
Katika utafiti wangu ambao si mkubwa sana nimegundua kuwa back-end nyingi za website zinafanya kwa PHP hapa Nchini kwetu, ningependa kujua website zingine hapa nchini ambazo zimefanywa kwa other...
Kwa wapenzi wa Games .
Naomba kufahamishwa ni kwa namna gani naweza para hilo Game .
Nimejaribu angalia youtube kuoata maelezo sijaelewa kabisa.
Please kwa anaejua .
Pia NBA 15 or 16 even 14.
Habari wana jf nahitaji msaada wenu PC ang aina ya Toshiba ililikua inatumia user AC mbili aana moja kama admiatrator Na nyingine kama guest user
Tatizo liko apa admistrator user password zake...
nimejitaidi wadau ila napata warning ila nia yangu ni idisplay jumla ya laptop zilizopo kwenye database yangu au mtu akitaka kununua saa aangalie jumla ya bidds za saa msaada
nimejaribu count...
Hii cm nikiopen kamera inafungua ya mbele tuu so picha ni kujiselfie tuu. Msaada wenu, mi nimeirestore lakini bilabila je niiflash kabisa kwa pc au kuna njia nyingine?
Naomba msaada nataka kutengeneza system ya matokeo kwa kutumia html, css, php na mysql ambayo itakuwa na vitu vifuatavyo.
1.mwanafunzi aweze kujisajili online
2. mwanafunzi aweze kuona matokeo...
Kuna mpenzi Wangu amekuwa mwongo mwongo huwahataki kuniambia kaenda wapi!!au ananidanganya alipo
EB nisaidien kama kuna program ya Kutrace location ya MTU aliye na sm alipo
Nimeptapta play store...
Mtaa wa tatu kuna bar.
Wanaweka habari ya saa mbili kwa sauti. Na hapa tumeweka.
Nikikaa nje nasikia TV ya kwenye bar inawahi kuliko ya hapa nilipo, Wakati habari ni live.
Kwanini?
Au...
Habari za saiz wanajamvi?
Leo nimekuja hapa nahitaji msaada wenu. Nimejaribu kuroot simu yangu kutumia kingroot, lakini ikifika 70% Ina fail kama inavyoonyesha kwenye picha hapo chini. Tafadhari...
Wakuu habari ya tarehe ya 7/4/16. Kama kichwa cha somo kinavyosema hapo juu natafuta ushauri mzuri wa kompyuta ambayo itakuwa very powerful katika kufanya HD video editing na graphics....I prefer...
database hairetrieve data za mtu anayetaka kuona vitu alivyonunua kutoka table ya manunuzi
lakini nikiedit hapo "where username='john'" inaretrieve data zote za john napata but now napata...
1. Google: Larry Page & Sergey Brin
2. Facebook: Mark Zuckerberg
3. Yahoo: David Filo & Jerry Yang
4. Twitter: Jack Dorsey & Dick Costolo
5. Internet: Tim Berners Lee
6. Linkdin: Reid Hoffman...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.