Charles kikoti
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 461
- 120
Habari wanajanvi. Naombeni msaada Computer yangu nilikuwa nataka ku install window upya mwanzoni ilikuwa na window 7 nikataka ku update kwenda 8 ikagoma kabisa inadai disk C haina nafasi wakati ilikuwa na free space ya 56GB. Ilivogoma window 8 nikafikiri ku install 7 upya kwanza nayenyewe ikagoma tena. Nilichofanya nika install windo kwenye hard disk E ikakubali, ilipokubari nikaformat disk C kisha nika install window 8 kwenye disk C ikakubali nikaformat disk E pia. Sasa tatizo nikiwasha inaonesha window 7 na 8 zote zipo nikaona bora niludi window 7 bado inaonesha window 2 yaani window 7 mbili nifanyeje kufix hili tatizo kufuta moja kubaki na moja? Nitashukuru kwa elimu yenu.