pakaywatek
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 4,642
- 6,269
Kuna maelezo yamejiandika, Anti inadvertently mode. Kwenye top, alafu yakafwata tena maneno; Do not cover the top of the screen, wakati screen haijawa covered, msaada kwa wajuzi wa viruses wa kwenye simu, simu yenyewe ni tecno panthom-Z.