Msaada:Diploma ya Sheria ama Bussiness Administration online.

Bahati furaha

JF-Expert Member
Jul 11, 2012
3,054
1,415
Habari zenyu wanajamvi.
Naomba msaada kwa anaefahamu chuo kinachotoa kozi za Diploma ya Sheria ama Diploma ya Business Administration kwa njia ya mtandao(Online) tafadhali anijuze.

Asante.
 
Alison unasoma free then unalipia tu certificate but kama unataka kusoma online course ambazo zinatolewa na vyuo vikuu vikubwa lazima ujipange ! Stanford, Harvard wanazo hizo program cha muhimu fanya research tu
 
Nimeziangalia ALISON, je kwa hapa nchini hivyo vyeti vinatambulika Mkuu?
 
Kutambulika sahau ata vya online tu shida hata zile reputable universities watu hawaamini
 
Back
Top Bottom