Dawa/sumu ya kumong'onyoa mawe

ntamaholo

JF-Expert Member
Aug 30, 2011
12,923
6,932
Wadau wa teknolojia salam.

Nina site yangu natafta choo, lkn kila nikichimba, nakuta jiwe limesambaa kufunika eneo lote linalokusudiwa kuchimbwa choo.

Watalaam, nitumie nn ili niweze kuondoa mwamba huo?

Natanguliza shukrani
 
Tumia Baruti kulipua huo mwamba
Mkuu, baruti ina masharti makubwa, maana hadi upate kibali kwa afisa madini wa mkoa. Lkn pia nyumba zote za pembeni zitajuta kuwepo eneo hilo, cracks lazima.

Nilisikia kuna sumu ukiimwaga mwamba au jiwe linaoza na kubaki laini tu. Ndo naiulizia mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom