Phantom-Z imejilock naomba msaada jinsi ya kui unlock.

pakaywatek

JF-Expert Member
Dec 28, 2014
4,641
6,267
imeandika Anti inadvertently mode, alafu ikafwatiwa na Do not cover the top of the screen wakati haijawa covered, naomba kama kuna mwelewa na hizi antivirus anisaidie, natanguliza shukrani.
 
Kama unaweza access nenda setting>Display tafuta sehemu imeandikwa inadvertetly mode uiweke Off.
 
Back
Top Bottom