Msaada: Natafuta software inayoweza kubadili maandishi yawe sauti

MiniActivist

Member
Dec 9, 2011
66
44
Kwa wale ambao teknolojia haijawatupa, nisaidieni elimu.
Ninapata changamoto kurekodi kazi fulani.
Kwasasa natumia AUDACITY katika laptop, ninaishi pahali kuna kelele sana, hivyo nashindwa kurekodi.

Sasa natafuta njia ya mkato kubadili maandishi yawe sauti moja kwa moja.
 
Samahani mkubwa hiyo AUDACITY wengine hatuijui, pliz tufahamishe vijana wako
 
Audacity ni software rahisi kurekodi na kurekebisha makosa madogo madogo yaliyojitokeza wakati ulipokua unarekodi.

a5146e69c3a58c176e14d609a61be936.jpg

Pia ukitumia hii, unauwezo wa kuongeza background music kwa urahisi baada ya kurekodi.

733f43660fcb2679b24c9e4ae1e35b39.jpg
 
Back
Top Bottom