Msaada kwa wana Electronics

Aaron Arsenal

JF-Expert Member
Jul 24, 2014
24,501
28,703
Nahitaji kujua Ku design electronic CCT kama inverter, amplifier, security system, n.kNahitaji miongozo, kielimu nipo chuo kikuu mwaka wa pili mechanical engineering ila napenda electronics CCT design.

Naombeni msaada wa jins ya kudesign hasa complex ccts

@Null pointer

Chief MKWAWA<

Transistor

Na wengineo
 
Kwanza uwe na spirit ya creativity, uwe na subira na uvumilivu. Lazima uanze na vitu vidogo vidogo, circuit rahisi kama rectifier, simple transistor switches, single transistor amplifiers, simple voltage regulators. Halafu ndio sasa uanze kuchimba mambo ya microcontrollers na hapo ndipo utahitaji msaada wa mtu aliye deep na uwe na vifaa husika.

Swali la kwanza: Una interest kiasi gani? Hadi sasa umefanya nini kinachokupa hari ya kuendelea?
 
Nimesoma basic, pia nimejisomea mwenyewe digital electronics ktk nyanja za. ..combination and sequence circuit. ..flip flop,register...lkn bado naendelea kuchimba mwenyewe ...

Nimeanza design ya simple inverter ...

Hivo nahitaji miongozo kufikia mbali ktk kudesign complex cct.

Nimetokea kuipenda electronics toka o level hivo nimeamua kuweka juhudi huko .
 
Jitahidi kuvumbua amabavyo havijawahi kutengezwa/zinduliwa na siyo marudio.
 
Nimesoma basic, pia nimejisomea mwenyewe digital electronics ktk nyanja za. ..combination and sequence circuit. ..flip flop,register...lkn bado naendelea kuchimba mwenyewe ...

Nimeanza design ya simple inverter ...

Hivo nahitaji miongozo kufikia mbali ktk kudesign complex cct.

Nimetokea kuipenda electronics toka o level hivo nimeamua kuweka juhudi huko .
kwanza jua, kuwa complex kwenye hii field ni ishu ya ww kujibiidiisha.

jarib kuwa na workshop yako hapo home, kuunda circuit na kuiboresha circuit mbali mbali inaongeza creativty yako and utajikuta tu utagundua kuna somethng inamis hapo ndo utaanza kupata mawazo ya kuchimba na kujaribu ku develop new ideas (hapa ndo tunafosiwa kutengeneza project ili watu wawe na ubunifu wa kucombine ujuzi wote walio nao)

Chimba, piga msuli then ingia workshop yako, hapo lazima utaharib vitu kuungua sana na gun. ili huwe dip zaid usipende sana kutumia IC jarib kuto simplify mamb wakati wa kujifunza.

then ukitoka huko kwenye kwenye programing sasa.......
 
Nimekuelewa mkuu

Ila kwanini nisianze na IC
 
Kwanza uwe na spirit ya creativity, uwe na subira na uvumilivu. Lazima uanze na vitu vidogo vidogo, circuit rahisi kama rectifier, simple transistor switches, single transistor amplifiers, simple voltage regulators. Halafu ndio sasa uanze kuchimba mambo ya microcontrollers na hapo ndipo utahitaji msaada wa mtu aliye deep na uwe na vifaa husika.

Swali la kwanza: Una interest kiasi gani? Hadi sasa umefanya nini kinachokupa hari ya kuendelea?
 
Mimi ni mwalimu wa somo la geography. leo nimeletewa kifaa kinaitwa teller meter na mtu kiukweli aliyeniletea akijui na Mimi nimekicheki kwa kweli kimenichanganya. naomba Masada kwa anayekipata vizuri
 
Nimekuelewa mkuu

Ila kwanini nisianze na IC
Kwa sababu IC ni circuit ambayo tayari imekwisha tengenezwa internally yaani INTERGRATED CIRCUIT hivyo inahitaji vifaa vichache tu vya nje ili ikamilike. Kwa sababu hiyo hutakuwa umejifunza chochote
 
Nimesoma basic, pia nimejisomea mwenyewe digital electronics ktk nyanja za. ..combination and sequence circuit. ..flip flop,register...lkn bado naendelea kuchimba mwenyewe ...

Nimeanza design ya simple inverter ...
Hivo nahitaji miongozo kufikia mbali ktk kudesign complex cct.

Nimetokea kuipenda electronics toka o level hivo nimeamua kuweka juhudi huko .

Mkuu kwenye electronics unataka kwenda njia gani ili nijue ushauri wa kukupa, maana nimeona umesoma hizo combination n sequential circuits, flip flop na registers zote hizi ni logic circuits unlike mechanical circuits kama amplifiers e.t.c sawa you can do both ila it will take you even more time.

Personally nimesoma sana upande wa digital logic circuits, so kubuild up prototypes natumia sanasana code kuna language inaitwa Verilog, unaimplement logic circuit yako kama ni finite state machine (zinatumia flip flops) alafu unaprogram fpga unaona output yake, au kuimplement kwenye breadboard, logic circuits utaweza kutengeneza vifaa mbalimbali, mashines kama vending machines, kujua pia kiundani jinsi computers zilivyotengenezwa kuanzia kwenye transistors kuja juu, memory, chips mbalimbali, data transmission devices kama bluetooth devices, kutransmit data kwa njia ya mwanga, hata sound pia though its mostly analog ila utapata idea jinsi ya ku~encode digital signals into analog data.. most of stuffs ambazo zinakua in digital format vingine ambavyo hata binadamu hatujavifikiria u can come up with ideas.

Ila tukirudi upande mwingine sasa, huko wanaodeal na signals hasa za analog, hawa wasio deal sanasana na digital, waliodeep umeme na magnetism, siko deep kabisa huko kwa hiyo ushauri wangu huko unaweza usiwe makini.

Kwa hiyo em make a choicee unataka uanzie wapi, kama ni logic circuits ninaweza kupa overview ya pa kuanzia then unaweza kujiendeleza kwa juhudi zako mwenyewe.
 
Watu kama akina Transistor, Chief Mkwawa wanafulu nondo mngetoa mwongozo na sight za kupakua vijitabu juu ya haya mambo kuanzia chini kwenda juu. Kwa pamoja tuelimike na spidi ya hapa kazi tu.
 
Mkuu kwenye electronics unataka kwenda njia gani ili nijue ushauri wa kukupa, maana nimeona umesoma hizo combination n sequential circuits, flip flop na registers zote hizi ni logic circuits unlike mechanical circuits kama amplifiers e.t.c sawa you can do both ila it will take you even more time.

Personally nimesoma sana upande wa digital logic circuits, so kubuild up prototypes natumia sanasana code kuna language inaitwa Verilog, unaimplement logic circuit yako kama ni finite state machine (zinatumia flip flops) alafu unaprogram fpga unaona output yake, au kuimplement kwenye breadboard, logic circuits utaweza kutengeneza vifaa mbalimbali, mashines kama vending machines, kujua pia kiundani jinsi computers zilivyotengenezwa kuanzia kwenye transistors kuja juu, memory, chips mbalimbali, data transmission devices kama bluetooth devices, kutransmit data kwa njia ya mwanga, hata sound pia though its mostly analog ila utapata idea jinsi ya ku~encode digital signals into analog data.. most of stuffs ambazo zinakua in digital format vingine ambavyo hata binadamu hatujavifikiria u can come up with ideas.

Ila tukirudi upande mwingine sasa, huko wanaodeal na signals hasa za analog, hawa wasio deal sanasana na digital, waliodeep umeme na magnetism, siko deep kabisa huko kwa hiyo ushauri wangu huko unaweza usiwe makini.

Kwa hiyo em make a choicee unataka uanzie wapi, kama ni logic circuits ninaweza kupa overview ya pa kuanzia then unaweza kujiendeleza kwa juhudi zako mwenyewe.
Nahitaji hasa katika DIGITAL ELECTRONICS
 
Sasa mkuu kwa kua unataka kwenda njia hiyo, nitakushauri uanze na kitabu, kuna kitabu tafuta kinaitwa Contemporary Logic Design. Download na software inaitwa Xilinx unaweza pata trial version yake bure, ni software kubwa sana download file yake kama 7GB, ukiinstall inahitaji kama 20GB ya harddisk space, hii ndiyo itakua inakusaidia ku~simulate circuits zako, unaweza ukachora circuit na ukasimulate ukaona outputs zote, au unaweza ukaandika code kwa kutumia Verilog yenyewe ikakutengenezea circuit automatically.

Anza na kitabu, soma page to page, ndani yake utajifunza kutengeneza electronic circuits kwa njia mbalimbali, utaanzia kwenye transistors, utasoma CMOS, then utakuja basic za logic gates, piga combination logic vizuri maana ndio kama building block ya kila kitu huko mbele, the piga sequential logic, wakati unasoma utakua unaona simple projects, mfano utaona Binary counter, isome uielewe, then kaa chini chora kwenye karatasi prototype yako, fungua xilinx, chora diagram yake then simulate uone kama inaleta correct output. Hakikisha kabla hujamaliza kitabu uwe unaweza kukaa chini, ukaandika logic ya kuweza kufanya vitu vichange angalau kwa simulation, mfano:
- Vending machine system
- Traffic alert system
- Elevator control
- Door lock system inayotumia namba au card ku-unlock
- Object counter e.t.c
Na kama project ambayo ni challenging ya kujipima nitakushauri utengeneze a micro-processor ya 8-bit from scratch, ukimaliza hiki kitabu utaweza kuitengeneza though it will take you time.

Sasa utamu wa logic design unakuja pale ambapo utakaa na kutengeneza real devices maana hapo juu utakachokua unafanya ni kukaa na kusimulate tu kwenye computer, real devices itakulazimu kutoa mshiko, itabidi ununue FPGA, Arduino, na sensors kibao uanze kufanya your own projects, na hapa pia kama hujui programming utapata tabu kidogo kwa hiyo ni muhimu kujifunza C.
 
Asante sana mkuu , nitafanyia kazi. ..Mungu akubaliki
 
Back
Top Bottom