Msaada: Nitumie microphones gani kurecord video kwa simu?

Sadoseba

JF-Expert Member
Feb 17, 2013
243
91
Wakuu. Nahitaji kurecord some video clips kwa kutumia simu yangu. Napata changamoto kuwa quality ya sauti haina standard ninayoitaka.
Naomba msaada kwenu. Nitumie microphone gani kwa ajili ya video recording?
 
mkuu kama unapenda mobile photography nokia 808 ni must have na mic zake hadi flagship za 2016 zinapitwa.

kuhusu mic kama unayeongea ni wewe tu kwanini usotafute headphone nzuri zenye mic bora?

pia angalia kama simu yako ina usb otg utakuwa na option nyengine ya kutumia mic za usb
 


Zipo video nyingi zinazotoa elimu hii sema nimeona mic alionyesha ya mwisho itakufaa sana...

hizi external mic utabidi kuzi import toka nje.
 
Back
Top Bottom