Hii ndio simu Fero V501 inayouzwa katika maduka ya vodacom bei poa

ymollel

JF-Expert Member
Aug 23, 2012
3,096
2,286
Kama umekuwa unatafuta smartphone ya bajeti ndogo na yenye sifa za wastani. Basi hii inaweza kukufaa.

Inaitwa FERO model V501
Ram 1GB
Processor ni quadcore
Chipset ni Cortex
Storage 8GB
Dual sim
Android 4.4.2 kitkat
Screen 5 inches
Na vitu vingine ni kama inavyoonekana hapo kwenye cpu Z
 

Attachments

  • IMG-20160415-WA0043.jpg
    IMG-20160415-WA0043.jpg
    35.8 KB · Views: 183
  • IMG-20160415-WA0045.jpg
    IMG-20160415-WA0045.jpg
    30.6 KB · Views: 152
  • IMG-20160415-WA0044.jpg
    IMG-20160415-WA0044.jpg
    33.9 KB · Views: 145
  • IMG-20160415-WA0042.jpg
    IMG-20160415-WA0042.jpg
    21.3 KB · Views: 145
Bei ni 165,000/- kwa Arusha hope hata mikoani bei ni hiyo hiyo
 
kwa simu iliokuwa locked mtandao mmoja na specs hizo mbona naona kama ni ya kawaida tu? around 200,000 unaanza kupata ladha ya 64bit simu za sd410 kama moto e, huawei y550, galaxy core prime etc
Hii simu sio locked kabisa. Slot zote unaweka simcard yoyote.. Ndio maana ipo reasonable na price.
 
Hamna iliyotoka 2016 na ni cheap kama hiyo naona kama natakiwa niwe na smart ya Lollipop sasahivi au hiyo Marsh mellow , hii yangu sasa Ina mwaka ilikuwa latest nilipewa 2015 mwanzoni ni huawei y360 KitKat pindi tu zilippotoka. sasahivi haiko compatible na GTA Liberty City Stories hii inaanza vizuri lakini unapobonyeza new game inaonesha blank screen then inaji force close nawakati GTA SA inacheza vizuri,??
 
Back
Top Bottom