Msaada Azam TV

Zikwe

JF-Expert Member
Mar 13, 2013
239
131
habar za humu wakuu,Nina kisimbuzi chang cha Azam tv sas cha kushangaza na kustua ni kwmba jana wakati Nimeludi kwnye mihangaiko Nilivyowasha kisimbuzi kinaonyesha channel mbili tu yan XTRA na TBC...
Channel nyingne zinaandika ACCESS DENIED,hapa nina maana CLOUDS,STAR TV,EATV,TV ZBC2 Na CH10
Msaada wana TECH au kwa yoyote mwenye uelewa wa hili anisaidie nawaomba

NOTE
Kisimbuzi changu hakikulipiwa nilikuwa naangalia LOCAL CHANNEL ila nazo sasa zimekata gafla
NAOMBENI MSAADA WENU WATAALAMU NA UJUZI WENU
CC.
 
Azam kwa kawaida kama hujalipia king'amuzi kwa miezi 3 wanakata channel zote wanakuachia hizo 2,hapo inabd uunge kifurushi chochote
 
Kwanini mkuu maana mm ninavyoelewa hadi sasa Local channel ni bure sasa iweje wakate alaf nimekaa nacho mda mrefu zaidi ya miezi 3 bila kulipia inakuaje apo mkuu
 
Mkuu TCRA walisema local channels ni buree, ila wao AZAM sijui Kwanini wanakata bro
 
Soma masharti ya pay tv na satellite provider kama zuku, dstv utajua why wanakata wale terrestrial providers ndo channels za ndani ni bure na ni tano ndo kisheria lazima ziwe free
 
Kuanzia march 23 Azam wameanza utaratibu mpya kuwa kifurushi chako cha mwezi kikifika mwisho wake na wakisitisha huduma inabakia TBC tu ule utaratibu wa mwanzo wa wiki 3 kwa sasa haupo
 
Mkuu Azam walisha badili mfumo huo kwasasa usipolipia wanafyeka zote inabaki tbc na azam extra tu.
Na imekuja baada ya kubadili vifurushi vyao kama mwezi mmoja sasa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom