Ku install what's app kwenye desktop

dkashombo2013

JF-Expert Member
Aug 10, 2013
540
225
Google Blue Stacks na kuinstal utaitumia kudownload app yoyote ktk store ya android pc yako itakuwa km android device
 

Murano

JF-Expert Member
Mar 11, 2012
2,062
2,000
ingia google search YOU WAVE.
Hata bluestacks inafanya kazi poa ila sharti lake uwe na ram ya 2gb
 

Monasha

JF-Expert Member
Apr 2, 2011
556
500
ingia google search YOU WAVE. Hata bluestacks inafanya kazi poa ila sharti lake uwe na ram ya 2gb
@kasaloo YouWAVE cracking code utapata wapi. Mi natumia samsung min laptop nimeshndwa kutumia you wave kabisa. Nisaidie mkuu.
 

HAKUNAGA

JF-Expert Member
Jan 3, 2012
302
225
Hakuna kuzingua mie natumia window 8.1 nimeinstall iko fresh
Najaribu ku install blue stacks kwenye window 7 napata ujumbe huu " Error 25000, Blue stacks is currently doesnt recognise your graphics card it is possible your graphics drivers may need to be updated. Please update them and try installing again". NAOMBA MAUJUZI HAPA INAKUWAJE
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom