Naomba msaada wa kuanlock tecno y3+

CK Allan

JF-Expert Member
Aug 14, 2013
2,781
6,065
Naomba msaada was kuanlock simu tajwa hapo juu imei namba ni 356144070815382 nb bila kuweka line 1 tigo simu haifanyi kazi
 
OK HILO TATIZO ITAKUWA VZURI XANA KAMA UTAFKA OFCN KARIAKOO SOFT KWA SABABU HIYO TECNO INAHITAJI KUNLOCKIWA TUPO KARIAKOO BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZ KWENYE SCREEN KUBWA YA MATANGAZO
 
Broo nipo kijijin
OK HILO TATIZO ITAKUWA VZURI XANA KAMA UTAFKA OFCN KARIAKOO SOFT KWA SABABU HIYO TECNO INAHITAJI KUNLOCKIWA TUPO KARIAKOO BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZ KWENYE SCREEN KUBWA YA MATANGAZO
Nauli ya kufika kariakoo nanunua simu nyingine tatu kama hii
 
HAHA XAXA KAMA HYO M3 YAKO INAJIWASHA DATA TATIZO LINAKUWA NI VIRUS NA VIRUS HAO WANATOKA BAADA YA SIM KUFLASHIWA AU PIA UNAWEZA KUTUMIA BOX YA VOLCANO KUTOA HUYO VIRUS HUYO VIRUS ANAJULIKANA KWA JINA LA MONKEY VIRUS KAMA UTATAKA MAELEKEZO NIJUUUe
 
Wasalaam wakuu!

Ninayo hii simu kwa muda nimekuwa naitumia bila memory card. Siku ya Jana nimepata memory card nimeweka.

Shida ni kwamba sehemu ya kuhamisha vitu nilivyodaunlodi ili viende kwenye sd sipaoni naomba msaada namna ya kuhamisha vitu toka mobile storage kwenda sd.

Natanguliza shukurani!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom